YOUTUBE CHANNEL LECTURE 1: JIFUNZE JINSI YA KUFUNGUA CHANNEL YA YOUTUBE
Karibu tena ndugu msomaji na mtembeleaji wa blog yako pendwa ya Mbinda Technologies ambayo inakupatia elimu itakayokusaidia kucopi na mabadiliko ya sayansi na teknolojia yanayotokea kila leo.
Katika makala ya leo tutaenda kuzungumzia namna ya kufungua channel ya youtube maarufu kama online TV.
Makala hii itakwenda kukupa ujuzi wa namna ambayo utaweza kufungua channel ya youtube wewe mwenyewe, channel ambayo utaweza kuweka video zako na watu wengine wakapata kuziona.
MAHITAJI
1: G mail account
2: Kifaa chako cha kielectoniki (kama computer)
3: Internet connection
HATUA ZA KUFUATA
1:Fungua mtandao wa youtube kwenye search engine yako mfano opera mini, mozila firefox.
kisha tafuta (search) www.youtube.com kama hivi:-
2:Kisha baada ya hapo itafunguka na utatakiwa kuanza kwa ku sign in kama inavyoonekana hapa chini:-
3:Kisha baada ya hapo chagua g mail account yako ambayo uta sign in nayo kama hivyo :-
4:Kisha utatakiwa kuchagua option ya my channel kama inavyoonekana hapo chini:-
5:Kisha baada ya hapo utatakiwa kuandika jina la channel yako kwenye vibox vyote. mfano kibox cha juu utaandika kitaani cha chini ukaandika TV kama hivi:-
6:Kisha baada ya hapo kumaliza utakua umeshatengeneza channel yako na itaonekana kama hivi:-
7:Kisha mpaka hapo utakua umemaliza kutengeneza channel yako na itakua tayari kwa kuwekewa video. ukihitaji kuiona channel yako ulioitengeneza unachotakiwa kufanya ni kuingia youtube na ku sign in kwa ile e mail yako uliotengenezea channel kisha clik palipoandikwa my channel kama hivi:-
**** MWISHO ITAENDELEA ****
Lecture ijayo tutaangalia jinsi ya kuweka video kwenye channel ya youtube.
AHSANTE
KWA MAONI NA USHAURI WEKA KWENYE KIBOX CHA MAONI HAPO CHINI AU TUTUMIE KWA WHATSAPP/Telegram/SMS kwenda 0767973852 / barua pepe kwenda mbinda74@gmail.com
No comments