WHATSAPP SECURITY LECTURE 1: JINSI YA KUZUIA KUDUKULIWA TAARIFA ZAKO ZA WHATSAPP
Uhali gani tena ndugu wasomaji wa blog yako pendwa ya Mbinda Technologies Leo katika makala zetu tutaenda kuzungumzia juu ya suala ambalo limeshika chati sana katika mitandao ya kijamii juu ya suala la udukuzi kwenye mtandao wa kijamii maarufu kwa jina la whatsapp.
Leo tunakuletea makala maalumu juu ya kutatua suala la udukuzi kwenye mtandao wa whatsapp.
Katika Makala Ya Leo tumekuletea stage mbalimbali ambazo utatakiwa kuzifuata ili kujiwekea ulinzi dhidi ya wadukuzi
FUATA STEP ZIFUATAZO
1: Fungua application yako ya whatsapp na kisha bofya vitufe vitatu vipo juu kabisa![]() |
Mbinda Technologies 2017 |
2: Kisha baada ya hapo nenda palipoandikwa setting
![]() | |
|
3: Kisha chagua Account
![]() | |
|
4: Kisha chagua Two-Step Verification
![]() |
Mbinda Technologies 2017 |
5: Kisha bofya kitufe cha enable
![]() |
Mbinda Technologies 2017 |
6: Kisha weka namba zako za siri
![]() |
Mbinda Technologies 2017 |
7: Kisha thibitisha tena namba zako za siri
9: Kisha thibitisha e mail yako
![]() |
Mbinda Technologies 2017 |
10: Kisha bofya kitufe cha done
![]() |
Mbinda Technologies 2017 |
11: Mpaka hapo umefanikiwa kuweka ulinzi zaidi kwenye whatsapp yako
![]() |
Mbinda Technologies 2017 |
AHSANTE KWA USIKIVU WENU
IMETOLEWA NA Mbinda Technologies
No comments