• Breaking News

    WHATSAPP TRICK 3: JINSI YA KUTUMIA NAMBA YA MAREKANI (USA) KWENYE WHATSAPP YAKO



    NI KWA MARA NYINGINE TENA KARIBUNI SANA WADAU WANGU WA NGUVU KWENYE BLOG YENYE MAUJANJA YA KILA AINA, NJOO UJIFUNZE TEKNOLOJIA ILI USIPITWE NAYO, NJOO UJIFUNZE MAUJANJA UJANJA MENGI ZAIDI KATIKA TEKNOLOJIA YA SASA. MAMBO YOTE HAYO YANAPATIKANA HAPA HAPA Mbinda Technologies.

    Basi pasipo kupoteza muda, somo letu la leo tutaenda kujifunza namna ya kutumia namba ya marekani (usa) kwenye account yako ya whatsapp

    Somo hili nimelitoa kutokana na maombi ya watu wengi juu ya hii trick kwani wamekua wakitamani sana namba zao kuanzia na code za kimarekani kama vile +1767973853

    MAHITAJI
    1: Application ya primo. Kama hauna bonyeza hapa kudownload  

    2: Whatsapp Nyingine tofauti na ulionayo sasa (ni muhimu ili watu watakaokutafuta kwa namba yako original wasikukose), Kama hauna whatsapp nyingine basi download hapa GB WHATSAPP na kisha install       


    FAIDA ZA HII NJIA

    1: Inaongeza usiri zaidi kwenye matumizii yako ya whatsapp kwani watu hawatakufahamu kirahisi bila ya wewe kuwaambia

    2: Itawashangaza rafiki zako na wakadhani kama upo nje ya nchi

    3: Itawafanya rafiki zako kukuheshimu zaidi kama wewe master wa mitandao

    4: International number

    HATUA ZA KUFUATA

    1: Download application ya primo hapa
       







    2: Kisha baada ya hapo ifungue na ujisajiri kadiri ya maelezo yatakavyotolewa kama hivi:-



    3: Ukishamaliza usajiri wako kikamilifu kabisa, Fungua app yako ya primo upya kisha bonyeza upande wa kushoto shuka mpaka chini ambapo utaona namba ya USA ambayo inaanzia na code +1 kisha uicopy kama inavyoonekana hapo chini



    4: Hapo sasa utakua umemalizana na primo, kinachofuata sasa ni kudownload application ya whatsapp inayoitwa GB WHATSAPP kama hauna download hapa

                                

    5: kisha baada ya kuinstall app yako ifungue na kisha sehemu ya kusajiri namba ya simu wewe iweke ile namba ya USA ulioicopy kule kwenye primo kisha baada ya hapo weka option ya kupokea verification code kupitia CALL kisha subiri kidogo na utapokea simu kutoka kweye application yako ya PRIMO kisha watakutajia CODE ambazo utatakiwa uziandike pembeni kisha utazijaza sehemu ya kuweka VERIFICATION CODE kama inavyoonekana kewenye picha hapo chini







    6: Kisha baada ya hapo  whatsapp yako itafunguka kama kawaida ikiwa na namba yako yaenye code ya USA kama hivi


    KAMA UMEFANIKIWA WATEXT MARAFIKI ZAKO NA UWASHANGAZE, PIA USISITE KUWAPA LINK HII ILI NAO WAJIFUNZE, KWANI MOTTO WETU UNASEMA "TEKNOLOJIA KWA WOTE"

    *********  MWISHO  **********

    TUKUTANE TENA SIKU YA KESHO KWA MAUJANJA ZAIDI


    KWA MAHITAJI YA SOFTWARE MBALIMBALI KAMA VILE WINDOWS ZOTE  JIUNGE NAMI KWENYE CHANNEL YANGU YA TELEGRAM KWA KUBONYEZA HAPA         NA UTAZIPAKUA BUREEE KABISA    

    PIA WAWEZA KUWASILIANA NAMI KWA WHATSAPP / SMS / TELEGRAM KWA NAMBA 0767973853 ZU BARUA PEPE E - MAIL mbinda74@gmail.com. 

    === Advertisement ==

    JE WAJUA APP

    JE WAJUA ni application yenye lengo la kuongeza maarifa kwa watanzania pamoja na watu wote wanaotumia lugha ya kiswahili kwa kuwapa japo dondoo moja kila siku kwenye simu zao. Dondoo zipo kwenye makundi mengi kama AFYA na MAHUSIANO ambayo ni makundi YA LAZIMA, pia kuna makundi ya wewe kuchagua au kutoyachagua kama BURUDANI, MICHEZO, HISTORIA, WANYAMA, BINADAMU, UJASIRIAMALI/BIASHARA, nk   IPAKUE HAPA.






    1 comment:

    1. Nina websites ya biashara nawezaje kuirank iwe number 1 make zipo site zenye jina kma langu na zipo juu alaf yangu ipo chini sana

      ReplyDelete