• Breaking News

    MAFUNZO YA BLOG SEHEMU YA TISA: JIFUNZE NAMNA YA KUWEKA VIDEO KWENYE BLOG



    Leo tutajifunza namna ya kuweka video kwenye blog

    1: Hatua ya kwanza: fungua blog yako (sign in to your blog)

    2: Hatua ya pili: Bonyeza kitufe cha chapisho jipya (press new post button)

    3: Katika uwanja wa kuandika habari bonyeza kitufe cha kuweka video (On the Post Editor, click Insert a video)

    4: Hapo utapata nafasi ya kuchagua sehemu unayotaka kuchukua video (here you will get many option of the area you want to pick video hoose )


    TUNAANZA KUZIANGALIA OPTION HIZO

    1: KUAPLOAD VIDEO KUTOKA KWENYE MAFILE EYA COMPUTER

    Fuata hatua zifuatazo


    KISHA BAADA YA HAPO ITAKUJA WINDOW YA KUCHAGUA KAMA HII  HAPONATAKIWA KUCHAGUA FILE LENYE VIDEO KA KISHA KUSELECT


    BAADA YA KUIPATA VIDEO UNAYOTAKA KUWEKA UNATAKIWA KUOPEN KISHA BAADA YA KUOPEN ITAKUJA WINDOW KAMA HII


    IACHE IPAKUE (UPLOAD) KWA MDA MPAKA ITAKAPOKUA TAYARI BAADA YA HAPO VIDEO YAKO ITAKUA TAYARI SO UNAWEZA KUIPOST,

    2: NJIA YA PILI : KUWEKA (UPLOAD) VIDEO KUTOKA YOUTUBE

    HATUA YA KWANZA INGIA YOUTUBE NA UCHAGUE VIDEO UNAYOIPENDA KISHA UWE KAMA UNAIPLAY HIVI


    BAADA YA HAPO BONYEZA LIGHT CLICK KATIKA MOUSE YAKO YA COMPUTER NA KISHA CHAGUA CHAGUO LA KUKOPY LINK KISHA ICOPY LINK KAMA HIVI


    BAADA YA KUICOPY LINK HIYO RUDI KWENYE BLOG YAKO NA KUIPASTE KAMA HIVI :-


    BAADA YA HIYO LINK KUJA UTABONYEZA KITUFE CHA KUSEARCH HICHO CHA BLUE KISHA VIDEO YAKE ITAKUJA KAMA HIVI:-


    IKIJA KAMA HIVYO ICLIK HIYO VIDEO NA IAKUA IMEZUNGUSHIWA RANGI YA BLUE KISHA BONYEZA KITUFE CHA  SELECT / CHAGUA  HAPO CHINI


    BAADA YA HAPO VIDEO YAKO ITAKUA TAYARI KWENYE BLOG YAKO

    3: NJIA YA TATU :  KUTOA VIDEO YAKO KUTOKA KWENYE CHANEL YAKO YA YOUTUBE (hii ni kwa wale wenye chanel youtube) FUATA HATUA HIZI 

    BONYEZA KITUFE KILICHOANDIKWA FROM MY YOUTUBE CHANNEL, MARA BAADA TU YA KUBONYEZA CHANNEL YAKO YA YOUTUBE ITAKUJA AUTOMATIK NA UTACHAGUA VIDEO YA KUWEKA KAMA HIVI:-


    HAPO CHAGUA VIDEO YAKO UNAYOTAKA NA UIWEKE

    4: NJIA YA NNE: UNAWEZA KUWEKA VIDEO YAKO KUTOKA KWENYE HIFADHI YAKO YA SIMU (yaani hii ni kwa wale wanaohifadhi video zao google drive) UNACHOTAKIWA KUKIFANYA NI KUCHAGUA OPTION YA KUCHUKUA VIDEO KUTOKA KWENYE SIMU YAKO KAMA HIVI:-


    HAPO UTACHAGUA VIDEO ZAKO KAMA UNAZO

    THE END / MWISHO


    LEO TUNAISHIA HAPO TAFADHALI SOMA KWA UMAKINI NA KAMA HUJAELEWA USISITE KUWEKA MAONI KWENYE KISANDUKU CHA MAONI HAPO CHINI

    2 comments:

    1. Naomba unishauri kutokana na muundo wa blog yangu ni change,najifunza namna ya kuipangilia.
      http://nwanajamiitanzania.blogspot.com

      ReplyDelete
    2. Blog yangu ni changa,msaada tafadhali nahitaji ushauri wako.utanijibu kwa email adammanuma@gmail.com
      Blog ni: http://nwanajamiitanzania.blogspot.com

      ReplyDelete