• Breaking News

    MAFUNZO YA BLO SEHEMU YA NANE: Jifunze namna ya kuweka picha katika ukurasa wako wa blog



    FUATA HATUA ZIFUATAZO ILI KUWEKA PICHA KWENYE BLOG

    1: Fungua blog yako

    2: Bonyeza kitufe cha new post kama kinavyoonekana hapa chini


    3: Nenda kwenye kitufe cha picha kaMA KINAVYOONEKANA HAPA CHINI


    4: kisha chagua mahala unapotaka kuchukua picha kama hivi :-


    5: chagua picha kutoka kwenye machaguo haya

    1: Chagua kutoka kwenye mafile yako ya computer fuata hatua hizi:-



    I: Hatua ya kwanza - bonyeza hapo kwenye kitufe namba moja




    II: Hatua ya pili :-  Chagua picha unayotaka kuweka kutoka kwenye mafile yako

    III: Hatua ya tatu :- Click picha unayotaka kuweka

    IV: Bonyeza hapo kwenye kiyufe cha select ili kuiweka picha yako


    i: weka size ya picha kuwa ndogo
    ii: weka size ya picha kuwa ya kati
    iii: weka size ya picha kuwa kubwa kidogo
    iv: weka size ya picha kuwa kubwa kabisa
    v: weka size ya picha kuwa katika size yake ya asili
    vi: weka size ya picha upande wa kushoto
    vii: weka size ya picha upande wa kulia
    viii weka size ya picha upande wa katikati
    ix: ondoa picha

    NJIA NYINGINE ZA KUWEKA PICHA NI HIZI HAPA 

    2: Chagua kutoka kwenye album yako ya google (hii ni kwa wale wanaohifadhi picha zao google / goole drive)

    3: Hii ni kwa watumiaji wa simu bonyeza hapo ili kuchagua 

    4:  Hapa unapata option ya kutumia camera ya simu yako au maarufu kama webcam kuchukua picha

    6:  Hapa unaweza kuchagua picha kutoka kwenye blog yako na kuipakia

    Ahsanteni sana makala ijayo tutaangalia namna ya kuweka picha kwa njia ya pili


    usisite kutoa maoni yako kwenye kisanuku cha maono hapo chini

    Tazama pia MAFUNZO YA BLOG SEHEMU YA SABA: JINSI YA KUWEKA POST KATIKA BLOG

    No comments