MAFUNZO YA BLOG SEHEMU YA SABA: JINSI YA KUWEKA POST KATIKA BLOG
Leo tutaanza kwa kujifunza namna ya kuweka post katika blog.
Hatua ya kwanza: fungua blog yako kwa kulog in kwa kutumia g mail account yako, angalizo kwa wale wanaotumia simu ni vema ukatumia uc Browser maana search engine nyingine zinasumbua.
Hatua ya pili: ukishafungua dasboard ya blog yako itakua na muonekano huu
Bonyeza hapo kwenye new post ili kuweza kwenda kwenye uwanja wa chapisho / post.
Hatua ya tatu: Ukishabonyeza kwenye new post itakuja ukurasa kama huu hapa chini
SASA HAPO UTATAKIWA KUFUATA HATUA HIZI HAPA CHINI
1 : WEKA KICHWA NCHA MAKALA HAPO
2: HAPO INAKAA MAKALA KUU YAANI HABARI YAKO YOTE IKIWAMO VIDEO, AUDIO, MAFILE AU PICHA
3: HAPO PANATUMIKA KUVUNJA MAKALA (KU BREACK PAGE) YAANI NIKIMAANISHA KUFANYA MAKALA YAKO KUONEKANA FUPI KATIKA MAIN PAGE. FUATA HATUA ZIFUATAZO ILI MKUVUNJA MAKALA
I. SOGEZA CUSOR YAKO YA COMPUTER MPAKA PALE UNAPOTAKA MAKALA IISHIE. KWA WATU WA SIMU CLICK PALE AMBAPO UNATAKA MAKALA YAKO IISHIE
II. BAADA YA HAPO SOGEZA CUSOR YAKO MPAKA KWENYE HICHO KIALAMA NAMBA 3 HALAFU BONYEZA BAADA YA HAPO UTAUONA MSTARI UMEJITOKEZA WA KUVUNJA MAKALA
4: HII ALAMA INATUMIKA KUPANGA SENTENSI KAMA KUANZIA MWANZO, KATIKATI, AU MWISHO
5: HII INATUMIKA PIA NKUPANGA SENTENSI KATIKA NAMBA
6: BONYEZA HAPO KUWEKA VIDEO
7: BONYEZA HAPO KUWEKA PICHA
8: BONYEZA HAPO KUWEKA LINK
9: BONYEZA HAPO KUWEKA RANGI YA BACKGROUND YA SENTENSI
10: BONYEZA HAPO KUSETI RANGI YA MANENO / SENTENSI ZAKO
11: BONYEZA HAPO KUKATA MANENO KAMA HIVI HHFHFHHF
12: BONYEZA HAPO KUPIGIA MSTARI MANENO YAKO
13: BONYEZA HAPO ILI KULAZA MANENO YAKO KAMA HIVI MBINDA TECHNOLOGIES
14: BONYEZA HAPO KUNAKSHI / KUKOLEZA RANGI YA MANENO YAKO KAMA HIVI
15: BONYEZA HAPO KUSETI UKUBWA WA MANENO YAKO
16: PIA PANATUMIKA KUONGEZA UKUBWA WA HERUFI
17: BONYEZA HAPO KUCHAGUA MWANDIKO WAKO
18: BONYEZA HAPA KU REDOO MAANA YAKE KUENDA MBELE YA KITENDO YAANI KAMA ULIKUA UMERUDI NYUMA BASI UTAENDA MBELE
19: BONYEZA HAPA KU REDOO YAANI KAMA ULIKUA UMEFUTA MANENO / SENTENSI KWA BAHATI MBAYA BASI UTARUDISHA MANENO / SENTENSI YAKO HAPA
NAOMBA LEO TUISHIE HAPO TUTAENDELEA KESHO
AHSANTE KAMA HUJAELEWA TOA MAONI HAPO CHINI KWENYE KISANDUKU CHA MAONI..
No comments