• Breaking News

    JINSI YA KUDOWNLOAD STATUS ZA KWENYE WHATSAPP PASIPO KUTUMIWA

     Image result for WHATSAPP STATUS

    Nakukaribisha tena katika uwanja huu wa kujifunza teknolojia na mabadiliko yake. Ndugu mpenzi mtembeleaji wa blog hii pendwa ya Mbinda Technologies  Leo tutakwenda kujifunza namna ya kudownload status za marafiki zako wa kwenye mtandao wa kijamii unaotambulika kwa jina la whatsapp.

    Kwa kuanza ni kwamba mwaka 2017 wamiliki wa mtandao wa whatsapp walianzisha program maalumu kwenye mtandao wao ilioruhusu watumiaji wa mtandao huo kuweka status zao kama inavyofanywa katika mtandao wa snapchart.

    Kutokana na changamoto kubwa inayowakumba watumiaji wa mtandao huo katika kuhifadhi status za marafiki zao kama vile video au picha kwenye vifaa vyao, basi leo hii tutakwenda kujifunza ni kwa jinsi gani unaweza ukadownload (pakua) status ya rafiki yako pasipo kumuomba akutumie. Ili kujua yote hayo ungana nami hatua kwa hatua.

    HATUA ZA KUFUATA

    1: Chukua simu yako na uifungue upande wa mafile "File Manager" Kisha chagua chaguo la "All files" Kama inavyoonekana katika picha.

                                    

    2: Hatua inayofuata unatakiwa ubofye kitufe kipo chini / juu ambacho kinakuruhusu kuangalia mafile yaliojificha, angalia picha hii;


    3: Kama utakuta alama ya "Kidoa" ipo katika kipengere cha "hide file" basi toa kaalama hako kwa kukakweka katika kipengere cha "Show hidden files".


    4: Baada ya kubadilisha kaalama ka "Kidoa" itakua na muonekano huu

                                 

    5: Baada ya hapo funguaa mafile yako sasa na kwenda moja kwa moja kwenye file la whatsapp;


                                   

    6: Baada ya kulifungua file la whatsapp, kinachofuata ni kufungua file lililoandikwa media;

                         

    7: Baada ya hapo fungua file  ambalo utakuta limeandikwa "status"  mara nyingi huwa la kwanza kabisa;

                           

    8: Baada ya hapo utakutana na status zoteza marafiki zako walioziweka ndani ya masaa 24. Hizi status hujifuta zenyewe kila baada ya masaa 24 hivyo ninakushauri uhamisha zile status ambazo umezipenda kwa kufanya kitendo cha "ku - kopy na ku - paste".

                                      

    9: Sasa ili kuweza ku kopy, unatakiwa ubonyeze kwa muda ile picha / video ulioipenda kisha mpaka itokee alama yoyote ile kama tick au kidoti kwenye ile picha / video ulioichagua, kisha maliza kwa kubofya kitufe cha kukopy kama kinavyoonekana hapo chini. kama hivi;

                                          

    10: Kisha baada ya hapo nenda ukaweke / uka paste sehemu yoyote ile unayoipenda kama hivi:

                                           
    11:Mpaka hapo uanakua umeweza kuhhifadhi status ya rafiki yako kwa mahitaji yako mengine.

                                 

    AHSANTE KWA KUWA NAMI KATIKA SOMO HILI

    Kwa maoni na ushauri usisite kutoa maoni yako hapo chini kwenye kisanduku cha maoni.

    Advertisement

    Kwa mahitaji ya blog, mobile app ya blog & website, Templates na mengineyo usisite kuwasiliana nami kwa mawasiliano yafuatayo : 0767963853 / mbinda74@gmail.com. Kumbuka bei zetu ni nafuu kabisa kwani zinaendana na hali ya uchumi ya sasa.

    BEI ZA HUDUMA ZITOLEWAZO NA Mbinda Technologies 2017

    1.  Kutengeneza blog Tshs 10,000/=     
    2. Kutengeneza mobile app ya blog Tshs 10,000/=
    3. Kuweka Mobile app Play store Tshs 10,000/=
    4. Kutengeneza + Kuweka mobile app play store Tshs 15000/=
    5. Kutengeneza blog + App + Kuweka play store Tsha 20,000/=
    6. Kuweka muonekanao mzuri wa blog yako upendavyo Tshs 5000/=
    7. Kufundishwa kutengeneza blog step by step (blog design)Tshs 30,000/=
    8. Kufundishwa kutengeneza web based Mobile App za blog na website  step by step (Appdesign)Tshs 20,000/=

    No comments