JINSI YA KUANDAA TUTORIAL (SCREEN RECORDING) KWA KUTUMIA SIMU YAKO YA SMARTPHONE YAKO
KARIBU TENE NDUGU MSOMAJI WA MAKALA ZETU KWENYE BLOG YAKO PENDWA YA MBINDA TECHNOLOGIES.
Leo tutaangalia namna ya kuandaa tutorial / srceen video kwa kutumia simu yako.
Leo tutaangalia namna ya kuandaa tutorial / srceen video kwa kutumia simu yako.
MAHITAJI
1: A - Z SCREEN RECORDING APP, KAMA HAUNA DOWNLOAD HAPA CHINI
2: SMARTPHONE YAKO
HATUA
1: Download app ya A - Z screen recorder kwa kubonyeza hapa chini
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
2: Baada ya kubonyeza hiyo link itakupeleka moja kwa moja playstore kisha install app yako kama hivi:-
3: Kisha bonyeza option ya accept kama hivi:-
4: Baada ya kuinstall tayari rubi kwenye screen yako na tafuta app ya A-Z SCREEN RECORDER itaonekana kama hivi:-
5: Baada ya hapo itafunguka kama ifuatavyo, kisha chagua option ya record kama hivi:-
6: Baada ya hapo itakuja option ifuatayo, unachotakiwa kufanya ni kuweka alama ya tick kwenye kibox na kisha bonyeza option ya start now,kama hivi:-
7:Baada ya itakuja option kama ifuatayo, unachotakiwa kufanya ni kuikubali kama ifuatavyo:-
8: Baada ya hapo itaanza kurekodi mara tu baada ya kuhesabu kuanzia 3, 2, 1. Kama hivi
9: Baada ya kumaliza kurekodi ulichokua unarecord unachotakiwa kufanya ni ku scroll down screen yako na kustopisha recordings kama hivi:-
10: Baada ya hapo utaweza kuiona video yako kwa kufungua upande wa mafile na kutafuta file lililoandikwa AzRecorderFRee, kama hivi:
KUMBUKA SETTINGS NYINGINE UTAJIFUNZA KADRI SIKU ZINAVYOZIDI KWENDA.
*********** MWISHO ********
KWA MAONI NA USHAURI TAFADHALI USISITE KUTUTAFUTA KWA NAMBA 0767973853 Whatsapp / Telegram / sms / call au unaweza kutuandikia barua pepe kwendambinda74@gmail.com
AHSANTE!
== ADVERTISEMENT ==
TUNAPOKEA MATANGAZO YA BIASHARA MBALIMBALI NA KUYATANGAZA KATIKA KURASA ZETU ZINAZOSOMWA KWA WINGI HAPA NCHINI, TANGAZA BIASHARA YAKO LEO KWA BEI NAFUU KABISA YA Tsh 5000/= KWA WIKI. KWA MAWASILIANO TUPIGIE / SMS 0767973853 / mbinda74@gmail.com
No comments