• Breaking News

    ANDAA TUTORIAL YAKO MWENYEWE UKIWA NYUMBANI, SHULENI / OFISINI KWA KUTUMIA SOFTWARE YA Debut Video Capture Software



    Karibu tena ndugu mpenzi msomaji wa blog yako pendwa ya  Mbinda Technologies. Leo katika mfululizo wa makala zetu za kiteknolojia nawaletea somo linalohusu JINSI YA KUANDAA TUTORIAL YAKO MWENYEWE KWA KUTUMIA SOFTWARE YA 
      

    Debut Video Capture Software.

    Somo hili nimeliandaa kutokana na maombi ya wasomaji wengi ambao wanahitaji kuandaa totorials zao wenyewe kwa ajili ya matumizi tofauti kama vile kufundishia, kuweka video hizo youtube n.k.
    MAHITAJI
    1. COMPUTER
    2. Debut Video Capture Software (KAMA HAUNA BONYEZA HAPO CHINI KUDOWNLOAD)

    👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇


    HATUA

    1:  Fungua software yako ya Debut Video Capture Software ambayo umekwisha kuidownload kama hujadownload basi download hapa chini kwa kubonyeza picha hiyo hapo chini

    👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇


    2: Ukikwisha kuifungua hiyo software itafunguka na itakuletea hachaguo mawili unachotakiwa kufanya ni kuchagua chaguo la kwanza  kama hivi

    👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇


    3: Kisha baada ya hapo unatakiwa uchague option ya screen kama hivi


    4: Kisha baada ya hapo bonyeza kitufe cha kurecord na itaanza kurecord automatic kama hivi:-


    5: Kama ukimaliza kurecord au kuandaa tutorial yako basi unachotakiwa kufaya ni kubonyeza tu alama ya hii software yetu ili kustop  kama hivi:-



    6: Na baada ya hapo unatakiwa ku save video yako kwenye file lako, kwa kawaida video huwa inajisave automatic kwenye file lako la
    video => debut ndipo huwa zinakaa hizo video so unaweza ukachange location, ili kusave video yako bonyeza kitufe kama hichi hapa chini:-



    **********  MWISHO  ********

    KWA MAONI NA USHAURI TAFADHALI USISITE KUTUTAFUTA KWA NAMBA 0767973853 Whatsapp / Telegram / sms / call au unaweza kutuandikia barua pepe kwenda mbinda74@gmail.com

    AHSANTE!

    ==  ADVERTISEMENT  ==

    TUNAPOKEA MATANGAZO YA BIASHARA MBALIMBALI NA KUYATANGAZA KATIKA KURASA ZETU ZINAZOSOMWA KWA WINGI HAPA NCHINI, TANGAZA BIASHARA YAKO LEO KWA BEI NAFUU KABISA YA Tsh 5000/= KWA WIKI. KWA MAWASILIANO TUPIGIE / SMS 0767973853 / mbinda74@gmail.com

    No comments