Jifunze namna ya Kuweza ku-root simu za Android
Habari wapendwa nipo pamoja nanyi mpaka kieleweke leo tuzungumzie japo kwa uchache maelezo ya kufanya Root kwenye simu zetu za android
kabla ya kuanza kuroot simu yako kutabatilisha warranty na muuzaji wako aliyekuuzia , pi root at your own risk i will not be hold responsible for any negative outcomes
ANDROID ROOTING NI NINI?
Ni mchakato wa kuruhusu watumiaji wa smartphones, Tablet na vifaa vingine vinavyotumia Oparetion sysetm ya android kupata uwezo kukiendesha kifaa au simu ya android katika kiwango cha hali ya juu
Rooting mara nyingi hutumika kwa lengo la kuondo overcome limitations ambazo zimewekwa na watengenezaji wa vifaa vya android
FAIDA ZA KU-ROOT
Rooting ina faida nyingi kama vile kubadiri ROOM, Kuinstall system installed app ku install apps ambazo zinahitaji root access kama vile TITANIUM BACK UP
JINSI YA KUROOT
Ku root android devices kunatofautiana kati ya simu na simu , hapa nitakupatia njia za ku root baadhi ya simu na baadhi ya vision za android
1) Huawei Idoes U8150
- wengi wetu tuna miliki simu aina hii HUAWEI IDOES U8150 simu ya aina hii ni rahisi sana fuata utaratibu huu
- download app inayoitwa z4root download z4root hapa http://search.4shared.com/q/1/z4root.apk
- kisha install z4root
- fungua z4root
- kisha bonyeza sehemu iliyoandikwa PERMANENT ROOT
Natumai tutakuwa tumepata mwanga japo kwa uchache kuhusu Rooting kwenye simu zetu za android kama unaswali au maoni niachie hapo kwenye sanduku la maoni
No comments