JIFUNZE KUSHARE INTERNET YAKO KUTOKA KWENYE LAPTOP BILA KIFAA CHOCHOTE
- Hakikisha Laptop yako ina Internet Tayari, inawezekana ikawa ni internet ya cable au modem
- Washa wirless kwenye computer yako.
- Download program kutoka kwenye Link hii http://swahilitech.com/OSTotoHotspot_24984.1.9.4.exe
4. unaweza kuunganisha sasa,na baada ya hapo waweza kuunganisha simu na vifaavingine kufurahia wireless yenye kasi zaidi. kumbuka Password utaiona hapo juu ( Mara nyingi ni 1234567890)
No comments