• Breaking News

    JIFUNZE JINSI YA KUTENGENEZA BOOTABLE FLASH DISK (KUWEKA WINDOWS IMAGE KWENYE FLASH DISK)

    Bootable flash disk


    KARIBU TENA NDUGU MSOMAJI NA MTEMBELEAJI WA BLOG YAKO PENDWA YA Mbinda Technologies. MAKALA ZETU ZA TECHNOLOGY ZINAZOLENGA KUSAMBAZA TECHNOLOGY KWA WOTE PASIPO MALIPO, LENGO NI KUWAWEZESHA WATANZANIA WENGI WASIO NA ELIMU KUWEZA KUTATUA MATATIZO YAO MBALIMBALI YANAYOHUSU TECHNOLOGY WAO WENYEWE , HII NI KUTUKANA NA GHARAMA KUBWA SANA AMBAZO WANAZIPATA PALE WANAPOHITAJI MSAADA WA MASWALA YA KITEKNOLOGIA.
    LEO KATIKA MASWALA YA TEKNOLOJIA TUTAANGALIA NAMNA YA KUWEZA KUTENGENEZA BOOTABLE FLASH DISK KWA AJILI YA KUKUWEZESHA KUINSTALL WINDOWS KWENYE COMPUTER YAKO (KUPIGA WINDOW).
    WATU WENGI WAMEKUA WAKIINGIA GHARAMA KUBWA WAKATI WANAPOHITAJI HUDUMA YA KUWEKEWA WINDOWS KWENYE COMPUTER ZAO. BASI SOMO LA LEO LITAHUSU MAANDALIZI YA AWALI KABISA AMBAYO YANAHUSISHA JINSI YA KUANDAA BOOTABLE FLASH DISK AMBAYO NI KITU MUHIMU SANA WAKATI WA KUPIGA / KUBADILISHA WINDOWS KWENYE COMPUTER YAKO
    MAHITAJI
    1: FLASH DISK (Ni vema isiwe na kitu yaani isiwe na file lolote)
    2: SOFTWARE YA POWER ISO (kama hauna bonyeza mwisho kabisa kule kuna link nimeiweka kujiunga na channel yangu ya telegram na utaikuta huko pamoja na windows zote kama windows 7, 8.1, & 10 na utadownload bure kabisa)
    3: WINDOWS SOFTWARE
    4: COMPUTER
    FUATA HATUA ZIFUATAZO
    1: Fungua software yako ya power ISO kwa kubonyeza right click kisha kuchagua option ya RUN AS ADMINISTRATOR kama hivi:-

    Create Bootable flash disk

    2: Kisha baada ya hapo itafunguka na utatakiwa kuchagua option ya OPEN kama hivi:-

    Create Bootable flash disk


    3: Kisha baada ya hapo itakuja WINDOW MPYA  ambayo itakuruhusu wewe kuchagua file lako la lenye WINDOWS ambalo linakuwa na kapicha (icon) kama vile CD ya njano, Kisha baada ya hapo maliza kwa kubonyeza option ya OPEN kama hivi:-

    Create Bootable flash disk


    4: Baada ya hapo subiri kidogo mpaka windows yako ikae kwenye software yako ya power iso kama inavyoonekana hapa chini. kisha baada ya hapo bonyeza option ya TOOLS kama hivi:-

    Create Bootable flash disk


    5: Baada ya hapo chagua option ya CREATE BOOTABLE FLASH kama inavyoonekana hapo chini:-

    Create Bootable flash disk


    6: Baada ya hapo itakuja window ambayo itakua inakueleza JINA LA FLASH YAKO so kama jina ni sahihi basi bonyeza option ya START kama hivi:-

    Create Bootable flash disk


    7: Kisha baada ya hapo itakuja pop up window ambayo itakuuliza kama unataka kufuta kila kitu kwenye flash yako hapo unatakiwa kubonyeza OK kama hivi:-

    Create Bootable flash disk


    BAADA YA KUBONYEZA OPTION YA “OK “  windows yako itaanza kuingia kwenye flash yako. Kumbuka zoezi hili litaweza kuchukua hata nusu saa kwa hiyo uvumilivu unahitajika kwenye zoezi hili.

    ENDAPO ITAKUJA MESSAGE YA KUKUAMBIA KUWA ZOEZI LIMEKAMILIKA, UJUMBE HUO UTASOMEKA HIVI “COMPLETE” HAPO UJUE ZOEZI LIMEKAMIKA

    ************** MWISHO ***************

    USIKOSE SOMO LIJALO AMBALO LITAHUSU NAMNA YA KUPIGA WINDOWS  KWENYE COMPUTER (KUINSTALL WINDOWS).

    KWA MAHITAJI YA SOFTWARE MBALIMBALI KAMA VILE WINDOWS ZOTE  JIUNGE NAMI KWENYE CHANNEL YANGU YA TELEGRAM KWA KUBONYEZA HAPA         NA UTAZIPAKUA BUREEE KABISA    

    PIA WAWEZA KUWASILIANA NAMI KWA WHATSAPP / SMS / TELEGRAM KWA NAMBA 0767973853 ZU BARUA PEPE E - MAIL mbinda74@gmail.com. 

    === Advertisement ==

    JE WAJUA APP

    JE WAJUA ni application yenye lengo la kuongeza maarifa kwa watanzania pamoja na watu wote wanaotumia lugha ya kiswahili kwa kuwapa japo dondoo moja kila siku kwenye simu zao. Dondoo zipo kwenye makundi mengi kama AFYA na MAHUSIANO ambayo ni makundi YA LAZIMA, pia kuna makundi ya wewe kuchagua au kutoyachagua kama BURUDANI, MICHEZO, HISTORIA, WANYAMA, BINADAMU, UJASIRIAMALI/BIASHARA, nk   IPAKUE HAPA.


    4 comments: