• Breaking News

    Download software ya kuondoa password kwenye computers zinazotumia mfumo endeshi (Operating System) wa Windows

    Image result for how to remove windows  password

    Uhali gani tena ndugu msomaji wa makala za kiteknolojia kutoka kwenye blog yako pendwa ya Mbinda Technologies.

    Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, leo tumekuja tena kivingine, hii inatokana na maombi mengi kutoka kwenu wadau wetu, Leo ninakuleteeni software mahususi kwa ajili ya kuondoa password kwenye computer yoyote inayotumia mfumo endeshi (Opereting System) wa Windows.

    "Ikumbukwe kuwa hii elimu ninaitoa kwa madhumuni ya kujifunza tu na si vinginevyo, hivyo mbinda technologies hatutohusika kwa lolote ambalo litatokea kwa watakaoitumia hii elimu kinyume na malengo yake".

    Sasa leo tutaanza na kuipakua / kudownload software mahususi kwa ajili ya kazi hii,

    ili kupakua software hiyo bofya hapo chuni

    Image result for download here

    Kumbuka hiyo software ni free trial kwa atakayehitaji activated software ambayo haina kikomo basi awasiliane nasi mbinda Technologies kwa simu nambari 0767973853 au barua pepe kwenda mbinda74@gmail.com Ambapo utachangia kiwango kidogo tu kwa ajili ya kuiinua Mbinda Technologies.

    Tuonane tena siku ya kesho ambapo tutajifunza sasa jinsi ya kuitumia hiyo software, hakikisha una flash disk ambayo ina ukubwa kuanzia GB 1 na kuendelea na isiwe na kitu cha muhimu ndani.

    Mpaka hapo sina la ziada kwa siku ya leo nakusihi usikose kesho kwa ajili ya kuendelea na somo letu.

    Kwa maoni na ushauri wasiliana nasi kupitia 0767973853 / mbinda74@gmail.com

    AHSANTENI


    No comments