• Breaking News

    ADVANCED BLOG DESIGN LECTURE 6: jINSI YA KUBADILI SLIDE PICTURE KWENYE BLOG TEMPLATE



    Karibu tene ndugu mpenzi mtembeleaji wa blog yako pendwa ya Mbinda Technologies , Leo katika mfululizo wetu wa makala / masomo yahusuyo namna ya kutengeneza blog kwa manufaa zaidi.

    Katika somo la leo tutajifunza namna ya kubadilisha SLIDE PICTURE (picha za kutembea) kwenye blog / ukurasa wako

    MAHITAJI

    1: COMPUTER YENYE INTERNET CONNECTION (hapa kwa watumiaji wa simu hii kazi sio rahisi kufanyika kwa kutumia simu)

    2: BLOG TEMPLATE AMBAYO INA SUPPORT SLIDE PICTURES

    3: PICHA AMBAZO UMEZIANDAA VEME

    HATUA

    1: Ingia google kisha tafuta / search hii website https://postimg.cc au kwa urahisi bonyeza hapa 
    Kisha baada ya hapo itafunguka na utatakiwa kuchagua chaguo (option ya choose image) kama hivi:-


    2: Baada ya hapo itakuja window ambayo itakuruhusu wewe kuchagua picha unayohitaji kuupload na kisha uichague picha yako (hapo unaweza kuchagua picha zaidi ya moja na kuziupload kwa pamoja) kama hivi:-


    3: Kisha baada ya hapo unatakiwa kusubiri kwa muda kidogo ili picha ikaweze ku aploadiwa (kupakuliwa). Baada ya kumalizika kwa zoezi hilo utatakiwa kubonyeza kitufe cha picha yako kama hivi:-


    4: Baada ya hapo picha yako itafunguka kama hivi:-


    Hapo unatakiwa kufungua window nyingine na hiyo uiache kama ilivyo kkwa sababu tutakuja kuitumia baadae

    5: Sasa fungua blog yako upanbde wa DASHBOARD na kisha uchague kitufe cha THEME na kisha malizia kwa kubonyeza kitufe cha EDIT HTML kama hivi:-


    6: Baada ya hapo kufunguka utatakiwa kubonyeza key zifuatazo Ctrl + F kwenye computer yako na kisha ukatype neno lifuatalo kwenye kibox cha kutafuta (SLIDE 1) na malizia kwa kubonyeza ENTER KEY au unaweza uka scroll down mouse yako mpaka mahala palipoandikwa SLIDE 1 START . Angalia mfano ufuatao:-



    7: Kisha baada ya kusearch neno hilo utafika moja kwa moja kwenye code husika pia kwa wale watakao tumia njia ya ku scroll down na mouse wanatakiwa kuishia pale ambapo utakutana na code maalumu za slide picture kama zitakavyoonekana kwenye picha hapo chini zikiwa na maelezo yake:-


    8: Ufafanuzi wa code hizo hapo juu huu hapa

    (i) Kwenye alama ya  #  unatakiwa uifute na uweke link ambayo itakuwa na habari kuhusiana na hiyo picha hiyo. ila kama hauhitaji kuweka link basi usiibadilishe hiyo alama uiache kama hivyo hivyo

    (ii)  Hapo panapofuatia unaiweka link ya picha yako kwa kufanya yafuatayo:-

    RUDI KWENYE ILE WEBSITE TULIYOWEKA PICHA YETU NA U LIGHT CLICK MOUSE YAKO KISHA CHAGUA CHAGUO LA "COPY IMAGE ADRESS"  KAMA INAVYOONEKANA HAPA CHINI



    BAADA YA ZOEZI HILO BASI RUDI KWENYE CODE ZETU NA UWEZE KU PASTE LINK HIYO KWENYE SEHEMU YAKE (kwa maelezo zaidi angalia picha ya hapa chini)

    KISHA BAADA YA HAPO UNATAKIWA KUANDIKA UPYA KICHWA CHA PICHA YAKO kama inavyojieleza picha hapo chini

    KISHA MALIZA KWA KUWEKA SENTENSI INAYOAMBATANA NA PICHA YAKO kwa maelezo zaidi angalia picha hapo chini



    HIZO STEP INATAKIWA UZIGUATE NA KWENYE SLIDE ZINAZOENDELEA  KWA KUFUATA HATUA HIZO HIZO

    9: Kisha baada ya hapo maliza kwa kubonyeza kitufe cha SAVE TEMPLATE



    Baada ya hapo jaribu kuangalia kama changes zako zimekubali ama la


    **********  MWISHO  **********

    KWA MAHITAJI YA TEMPLATE YENYE MUONEKANO WA KIJANJA KAMA HII HAPA, BONYEZA HAPA KUIONA           WASILIANA NAMI KWA WHATSAPP / SMS / TELEGRAM KWA NAMBA 0767973853 ZU BARUA PEPE E - MAIL mbinda74@gmail.com. Na utaweza kuipata kwa gharama nafuu kabisa ya Tsh 10000/= tu , Hii ni pamoja na huduma ya kuweka lebels uzipendazo. Pia kama unataka uwekewe kabisa slide kwenye template yako kabisa pamoja na kuweka lebels uzipendazo utachangia Tsh 15000/= tu


    AHSANTE TUKUTANE LECTURE IJAYO HAPO SIKU YA KESHO

    === Advertisement ==

    JE WAJUA APP

    JE WAJUA ni application yenye lengo la kuongeza maarifa kwa watanzania pamoja na watu wote wanaotumia lugha ya kiswahili kwa kuwapa japo dondoo moja kila siku kwenye simu zao. Dondoo zipo kwenye makundi mengi kama AFYA na MAHUSIANO ambayo ni makundi YA LAZIMA, pia kuna makundi ya wewe kuchagua au kutoyachagua kama BURUDANI, MICHEZO, HISTORIA, WANYAMA, BINADAMU, UJASIRIAMALI/BIASHARA, nk   IPAKUE HAPA.


    1 comment: