• Breaking News

    OFFER!! OFFER!! : MILIKI TOVUTI YAKO SASA KWA AJILI YA DUKA / BIASHARA YAKO


    Mbinda Technologies tumerudi tena baada ya kimya cha muda mrefu sasa tumerejea tena katika anga zetu za technology. Kwanza kabisa uongozi mzima wa team ya Mbinda technologies unapenda kutoa pongezi kwa wasomaji wetu wote ambao mmekua mkiipitia blog yetu kila siku na kuzidi kutuweka mahala pa juu zaidi.

    Ikiwa leo ni siku ambayo tumerudi tena hewani, Mbinda Technologies tunapenda kutoa offer kabambe kwa wateja wasomaji wetu ambao wamekua nasi bega kwa bega.

    Offer hii ni mahususi kabisa kwa watu wote wanaojihusisha na biashara mbalimbali pamoja na wajasiliamali wadogo wadogo kwa wakubwa.

    Sasa basi kupitia Mbinda Technologies Utaweza kumiliki "Duka lako la Online" au wanaita E-Commerce Blog (E-Commerce Website).

    Hii Ikoje??
                      Ni rahisi sana, hauhitaji kununua website kwa mamilioni ya shilingi na kuajiri wataalamu wa IT kwa ajili ya kuiendesha, Bali utaweza kuiendesha mwenyewe hata kama hauna ujuzi wowote wa IT.


    Inafanyaje kazi??
                                 Haupaswi kuwa na wasiwasi juu ya ufanyaji kazi wake, kwani kupitia hili "Duka lako la Mtandaoni" Utaweza kuweka bidhaa ambazo unaziuza au unazisambaza, Utaweza kuweka picha nzuri za bidhhaa zako ili kuweza kuwavutia wateja,

    Pia utaweza kuweka maelezo ya bidhaa yako kama vile umuhimu wa bidhaa yako, faida ya bidhaa yako au ubora wa bidhaa yako, 


    Tena zaidi utaweza kuweka bei za bidhaa yako ambazo zitaonekana katika madhari nzuri zaidi na kubwa zaidi kwenye kipengere cha "Order" Mteja ataweza kuweka order ya bidhaa azitakazo yeye 


    Kisha ukiwa kama mmiliki wa duka utaweza kupokea taarifa zote za mteja kupitia E_Mail Adress ambayo Tutakufungulia na kukuwekea kwenye simu yako.




    Gharama zake zikoje je???
                                               Usihofu kuhusu gharama, kwani Mbinda Technologies tunakujali wewe msomaji wetu na mtembeleaji wa Blog yetu kwa kukuletea gharama ambazo ni nafuu kabisa na ambazo mtanzania wa kawaida ambaye unaanza biashara / majasiliamali. Garama zetu ni kama zifuatazo;

    1. Tshs 30,000/= Tu, hapa unapata Duka lako la mtandaoni (E-Commerce) ambalo litakua na domain kama ifuatayo,  www.dukalako.blogspot.com, poa utapata mafunzo ya jinsi ya kuiendesha hilo duka lako la mtandaoni, pia utapewa customer service free kwa mwezi mzima.

    2. Tshs 50,000/= Tu, hapa unapata Duka lako la mtandaoni (E-Commerce) ambalo litakua na domain kama ifuatayo,  www.dukalako.com, poa utapata mafunzo ya jinsi ya kuiendesha hilo duka lako la mtandaoni, pia utapewa customer service free kwa miezi mitatu.

    3. Tshs 70,000/= Tu, hapa unapata Duka lako la mtandaoni (E-Commerce) ambalo litakua na domain kama ifuatayo,  www.dukalako.com, poa utapata mafunzo ya jinsi ya kuiendesha hilo duka lako la mtandaoni, pia utapewa customer service free kwa miezi mitano pamoja na kufanyiwa designing ya Bussness card ya ukweli kwa ajili ya biashara yako.




    Ili kuona kazi ambazo tumekwisha kuzifanya Tafadhali bofya link hapo chini

    1   www.deparco.blogspot.com

    2. www.stanyjuice.blogspot.com

    Unangoja nini sasa wasiliana nasi mapema kabla offer hii haijaweza kuisha, wasiliana nasi moja kwa moja kupitia namba hii  0767973853 / mbinda74@gmail.com / chmbinda16@mustudent.ac.tz

    AHSANTE NA KARIBUNI SANA MBINDA TECHNOLOGIES KWA HUDUMA BORA ZAIDI

    No comments