• Breaking News

    ADVANCED BLOG DESIGN LECTURE 6: JIFUNZE JINSI YA KUWEKA MANENO YA KUTEMBEA (MOVING TEXT) KWENYE BLOG YAKO



    Karibu tena ndugu mpenzi msomaji wa makala za kiteknolojia kwenye blog yako pendwa ya Mbinda Technologies. Leo tutajifunza namna ya kuweka maandishi ya kutembea (moving text) kwenye blog / website.

    HATUA

    1: Ingia kwenye blog yako na kisha fungua upande wa dashboard yako kisha chagua option ya layout kama inavyoonekana hapo chini.


    2: Kisha baada ya hapo chagua sehemu iliyoandikwa add gadget kama inavyoonekana kwenye picha

    

    3: Kisha baada ya hapo chagua sehemu iliyoandikwa HTML / JavaScript kama hivi:-


    4: Kisha baada ya hapo andika code zifuatazo kwenye kisanduku kikubwa (<marquee bgcolor="#33cc99" style="color:white;"><h1>Futa haya maneno meusi na uweke maneno yako hapa</h1></marquee>).Angalizo hayo mabano usiyaandike halafu weka sentesi yako kwa kufuta hayo maandishi meusi tu na kuweka yako kama hivi:-


    5: Kisha baada ya hapo bonyeza kitufe cha ku save kama hivi:-


    6: Ukimaliza kusave basi view blog yako uone kama imebadilika ama la, kama imekubali italeta muonekano huu:-


    7: Kama unataka maandishi yaonekane juu kabisa ya post na sio pembeni basi rudi tena kule kwenye dashboard ya blog => layout kisha hamisha ile gadget kwa kutumia mouse yako kama hivi:-




    8: Kisha malizia kwa ku view blog yako na kuangalia kama mabadiliko yamefanikiwa, kama mabadiliko yamefanikiwa blog yako itaonekana hivi:-

    **********  MWISHO  *********

    KWA MAONI NA USHAURI TAFADHALI USISITE KUTUTAFUTA KWA NAMBA 0767973853 Whatsapp / Telegram / sms / call au unaweza kutuandikia barua pepe kwendambinda74@gmail.com

    AHSANTE!

    ==  ADVERTISEMENT  ==

    TUNAPOKEA MATANGAZO YA BIASHARA MBALIMBALI NA KUYATANGAZA KATIKA KURASA ZETU ZINAZOSOMWA KWA WINGI HAPA NCHINI, TANGAZA BIASHARA YAKO LEO KWA BEI NAFUU KABISA YA Tsh 5000/= KWA WIKI. KWA MAWASILIANO TUPIGIE / SMS 0767973853 / mbinda74@gmail.com

    No comments